Yamoussoukro (mji)

Jiji la Yamoussoukro
Skyline ya Jiji la Yamoussoukro
Nchi Cote d'Ivoire
Mkoa Lacs
Idadi ya wakazi
 - 200 000
yamassoukro.org/en/
Yamoussoukro katika Côte d'Ivoire
Kituo cha mabasi Yamoussoukro, kanisa kuu nyuma

Yamoussoukro ni mji mkuu rasmi wa Cote d'Ivoire tangu 1983 ilipochukua nafasi hii kutoka Abidjan inayoendelea kuwa mji mkubwa na kitovu cha kiuchumi pia kiutamaduni na makao ya ofisi nyingi za serikali. Iko takriban 230 km kutoka pwani karibu na kitovu cha nchi. Kuna wakazi 200,000 (mwaka 2005).

Historia ya mji

Chanzo cha Yamoussoukro ni kijiji kidogo kilichoitwa N'Gokro. Imeteuliwa kuwa mji mkuu na kukua kwa sababu ni mahali pa kuzaliwa kwa rais wa kwanza wa nchi Félix Houphouët-Boigny. Mwanzo wa ukoloni wa Kifaransa kijiji cha N'Gokro ilikuwa chini ya chifu wa kike Yamousso. Mwaka 1909 kabila la eneo hili liliasi dhidi ya Wafaransa lakini sehemu ya machifu pamoja na Yamousso waliwashauri wenzao kupatana na Wafaransa tena. Tendo hili lilisababishwa Wafaransa kuhamisha kituo chao cha kiutawala wa eneo kwenda N'Gokro wakiita Yamoussoukro kwa heshima ya chifu yake.

Aliyekuwa rais baadaye Félix Houphouët-Boigny alizaliwa Yamoussoukro mwaka 1905. 1939 akawa chifu wa mahali akaendelea kujishughulisha na siasa na kuita mikutano wa machifu akiwaalika kwake kijijini. Baada ya kuwa rais wa Cote d'Ivoire mwaka 1960 aliamuru tangu mwaka 1964 kazi nyingi zifanywe kwake nyumbani kama ujenzi wa ikulu yake ya pili, majengo mengine ya umma, barabara, kituo cha umeme, viwanda, uwanja wa michezo na mengi mengine. Kelele ya ujenzi ilikuwa Kanisa Kuu la Yamoussoukro lililojengwa kwa mfano wa Kanisa la Mt. Petro huko Roma lakini kubwa kuliko kanisa lile linalotumikwa na Papa mwenyewe.

Mwaka 1983 ilitangazwa rasmi kuwa mji mkuu lakini ofisi nyingi za serikali na wizara bado zimebaki Abidjan.

Other Languages
Afrikaans: Yamoussoukro
Alemannisch: Yamoussoukro
አማርኛ: ያሙሱክሮ
العربية: ياموسوكرو
asturianu: Yamusukru
azərbaycanca: Yamusukro
беларуская: Ямусукра
беларуская (тарашкевіца)‎: Ямусукра
български: Ямусукро
bamanankan: Yamusukuro
brezhoneg: Yamoussoukro
bosanski: Yamoussoukro
català: Yamoussoukro
Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄: Yamoussoukro
нохчийн: Ямусукро
čeština: Yamoussoukro
Cymraeg: Yamoussoukro
Deutsch: Yamoussoukro
Zazaki: Yamusukro
Ελληνικά: Γιαμουσσουκρό
English: Yamoussoukro
Esperanto: Jamusukro
español: Yamusukro
euskara: Jamusukro
فارسی: یاموسوکرو
français: Yamoussoukro
Gaeilge: Yamoussoukro
Gàidhlig: Yamoussoukro
galego: Yamoussoukro
Avañe'ẽ: Iamusúkoro
客家語/Hak-kâ-ngî: Yamoussoukro
עברית: יאמוסוקרו
हिन्दी: यामूसोकुरो
Fiji Hindi: Yamoussoukro
hrvatski: Yamoussoukro
Kreyòl ayisyen: Yamousoukro
magyar: Yamoussoukro
հայերեն: Յամուսուկրո
Bahasa Indonesia: Yamoussoukro
Interlingue: Yamoussoukro
íslenska: Yamoussoukro
italiano: Yamoussoukro
日本語: ヤムスクロ
Basa Jawa: Yamoussoukro
ქართული: იამუსუკრო
Taqbaylit: Yamoussoukro
Kabɩyɛ: Yamusukro
қазақша: Ямусукро
한국어: 야무수크로
kernowek: Yamoussoukro
Кыргызча: Ямусукро
Latina: Yamussukro
Lëtzebuergesch: Yamoussoukro
Lingua Franca Nova: Yamoussoukro
Ligure: Yamoussoukro
lumbaart: Yamoussoukro
lietuvių: Jamusukras
latviešu: Jamusukro
Malagasy: Yamoussoukro
македонски: Јамусукро
кырык мары: Ямусукро
Bahasa Melayu: Yamoussoukro
Dorerin Naoero: Yamoussoukrou
Nāhuatl: Yamusukro
Nederlands: Yamoussoukro
norsk nynorsk: Yamoussoukro
occitan: Yamoussoukro
ਪੰਜਾਬੀ: ਯਾਮੂਸੂਕਰੋ
Papiamentu: Yamoussoukro
polski: Jamusukro
Piemontèis: Yamoussoukro
پنجابی: یاموسوکرو
português: Yamoussoukro
română: Yamoussoukro
русский: Ямусукро
srpskohrvatski / српскохрватски: Yamoussoukro
Simple English: Yamoussoukro
slovenčina: Yamoussoukro
slovenščina: Yamoussoukro
chiShona: Yamoussoukro
Soomaaliga: Yamoussoukro
српски / srpski: Јамусукро
svenska: Yamoussoukro
ślůnski: Jamusukro
тоҷикӣ: Ямусукро
Tagalog: Yamoussoukro
Türkçe: Yamoussoukro
удмурт: Ямусукро
ئۇيغۇرچە / Uyghurche: يامۇسسۇكرو
українська: Ямусукро
oʻzbekcha/ўзбекча: Yamusukro
vèneto: Yamoussoukro
vepsän kel’: Jamusukro
Tiếng Việt: Yamoussoukro
Volapük: Yamoussoukro
Winaray: Yamoussoukro
მარგალური: იამუსუკრო
ייִדיש: יאמוסאקרא
Yorùbá: Yamoussoukro
Bân-lâm-gú: Yamoussoukro