Waraka wa pili wa Yohane

Agano Jipya

Waraka wa pili wa Yohane ni kitabu kifupi kuliko vyote 27 vya Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Mwandishi

Kuanzia karne ya 5 mapokeo yamemtaja Mtume Yohane kuwa mwandishi wa barua hii, kwa sababu yaliyomo, misamiati na mtindo wa mawazo vinalingana na vile vya Waraka wa kwanza wa Yohane. Lakini barua yenyewe inamtaja tu " mzee" kuwa mwandishi wake.

Other Languages
Afrikaans: 2 Johannes
беларуская: Другі ліст Яна
беларуская (тарашкевіца)‎: Другое пасланьне Яна Багаслова
Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄: Iók-hâng Nê Cṳ̆
गोंयची कोंकणी / Gõychi Konknni: जुांवाचें दुस्रें पत्र
客家語/Hak-kâ-ngî: Yok-hon-ngi-sû
Bahasa Indonesia: Surat Yohanes yang Kedua
Basa Jawa: II Yohanes
polski: 2. List Jana
srpskohrvatski / српскохрватски: Druga Ivanova poslanica
Simple English: Second Epistle of John
slovenčina: Druhý Jánov list
chiShona: 2 Johane
vepsän kel’: 2. Joannan kirjaine
中文: 約翰二書
Bân-lâm-gú: Iok-hān Jī-su
粵語: 約翰二書