Victoria Beckham

Victoria Beckham
Victoria Beckham akitumbuiza katika sherehe za Spice Girls huko mjini Las Vegas, Nevada.
Victoria Beckham akitumbuiza katika sherehe za Spice Girls huko mjini Las Vegas, Nevada.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaVictoria Caroline Adams
Amezaliwa17 Aprili 1974 (1974-04-17) (umri 44)
Goffs Oak, Hertfordshire, Uingereza
Aina ya muzikiPop
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi wa nyimbo, msanifu wa mavazi, mfanyabiashara
Miaka ya kazi1994-mpaka sasa
StudioVirgin, 19, Telstar
Ame/Wameshirikiana naSpice Girls

Victoria Caroline Beckham (amezaliwa tar. 17 Aprili 1974) ni mwimbaji na msanifu mavazi kutoka nchini Uingereza. Anafahamika sana kwa kuwa kama mmoja kati ya wanakundi la wasichana waimbao muziki wa pop la Spice Girls. Pia, anafahamika zaidi kwa vile kaolewa na mchezaji soka la kulipwa huko nchini Uingereza - David Beckham, ambaye pia mwanasoka mashuhuri kabisa. Jina lake la utani ni Posh Spice, kwa sababu anapenda kuvaa nguo zinazimpendezesha kwake.

  • viungo vya nje

Viungo vya nje


Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Uingereza bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victoria Beckham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
Afrikaans: Victoria Beckham
asturianu: Victoria Beckham
azərbaycanca: Viktoriya Bekhem
беларуская: Вікторыя Бекхэм
български: Виктория Бекъм
čeština: Victoria Beckham
Esperanto: Victoria Beckham
føroyskt: Victoria Beckham
français: Victoria Beckham
Bahasa Indonesia: Victoria Beckham
lietuvių: Victoria Beckham
македонски: Викторија Бекам
Nederlands: Victoria Beckham
norsk nynorsk: Victoria Beckham
português: Victoria Beckham
srpskohrvatski / српскохрватски: Victoria Beckham
Simple English: Victoria Beckham
српски / srpski: Викторија Бекам
Basa Sunda: Victoria Beckham
українська: Вікторія Бекхем
Tiếng Việt: Victoria Beckham
Bân-lâm-gú: Victoria Beckham