Uyahudi |
Uyahudi ni mojawapo kati ya
Uyahudi (Yuda) ni pia jina la kihistoria la sehemu ya kusini ya nchi ya
Kwa jumla kuna namna mbili za kuangalia Uyahudi: ama kama dini au kama taifa. Namna zote mbili huchanganyikana na kutumiwa pamoja mara kwa mara.
Kuna Wayahudi wanaojitazama raia wa nchi fulani na Uyahudi wao ni katika imani tu. Kuna Wayahudi wengine wanaosema hawafuati dini ya Kiyahudi wala hawaamini lakini wanajisikia kuwa Wayahudi kwa sababu ya
Wafuasi wa dini hiyo huitwa "Wayahudi" hata wasipokuwa na asili ya taifa hilo.
Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani,
Siku hizi wako karibu milioni 15 duniani kote, hasa nchini