Ukhalifa wa Cordoba

Ukhalifa wa Cordoba ( Ar.خلافة قرطبة‎; Khilāfat Qurṭuba) ilikuwa milki kubwa kilichounganisha Al-Andalus iliyokuwa sehemu ya kiislamu ya Rasi ya Iberia ( Ureno na Hispania ya leo) kati ya 929 na 1031. Mji mkuu alikotawala khalifa ilikuwa Cordoba.

Emirati ya Cordoba

Historia ya milki hii ilianza mwaka 756. Mwaka ule Abd-ar-Rahman I alikuwa emir wa eeneo la Cordoba katika Al-Andalus ( Hispania) mnamo 756. Alizaliwa katika nasaba ya Wamuawiya huko Shamu akakimbia kutoka nchi yake baada ya kupinduliwa kwa nasaba hii mwaka 750. Emirati ya Cordoba iliendelea kati ya madola ya Al-Andalus na kupata nafasi ya kwanza.

Other Languages
azərbaycanca: Kordova xilafəti
беларуская: Кордаўскі халіфат
Bahasa Indonesia: Kekhalifahan Kordoba
македонски: Кордопски халифат
Bahasa Melayu: Kekhalifahan Cordoba
Nederlands: Kalifaat Córdoba
srpskohrvatski / српскохрватски: Kordopski Kalifat
slovenščina: Kordovski kalifat
српски / srpski: Кордопски калифат
Türkmençe: Kordowa halifaty
Tiếng Việt: Caliphate Córdoba