Tuta la mchanga
English: Dune

Tuta la mchanga kwenye pwani la Baltiki linaloshikwa na manyasi
Tuta la mchanga huko Sossusvlei, Namibia
Matuta ya mchanga kwenye Sahara, Algeria

Tuta la mchanga ni kilima cha mchanga kilichojengwa na upepo kwa kupuliza na kusukuma punje za mchanga. Kama halishikwi na mimea inaweza kuhamahama.

Matuta ya mchanga hutokea penye mchanga usiofunikwa na udongo au mimea ya kutosha.

Mifano ni:

  • Kando la bahari: mahali pengi ufukoni ni kawaida kuwa na mstari mmoja au miwili ya matuta ya mchanga kando la maji.
  • Jangwani: penye jangwa la mchanga maeneo makubwa yanaweza kutokea kama matuta ya mchanga.

Matuta ya mchanga ni hatari kwa ajili ya binadamu kwa sababu yanaweza kufunika mashamba, nyumba hata kijiji kizima. Kama upepo ni mkali yanaweza kuhama mita makumi kila nafasi ya dhoruba.

Kuna majaribio mengi ya kusimamisha matuta yasihame. Njia mojawapo ni kupanda manyasi katika maeneo penye mvua wa kutosha. Hii ni kazi inayohitaji uangilifu. Lazima kurudia kupanda pale ambako majani yamekufa. Lazima kuzuia wanyama na watu wasikanyage kati ya manyasi haya.

Mradi wa kuhifadhi mazingira ya Umoja wa Mataifa unasaidia miradi ya aina hii kote duniani.

Other Languages
Afrikaans: Duin
العربية: كثيب
asturianu: Duna
azərbaycanca: Dyun
Boarisch: Düne
беларуская: Дзюна
български: Дюна
brezhoneg: Tevenn
català: Duna
Cebuano: Dunes
čeština: Duna
dansk: Klit
Deutsch: Düne
Ελληνικά: Θίνα
English: Dune
Esperanto: Duno
español: Duna
eesti: Luide
euskara: Duna
suomi: Dyyni
français: Dune
Nordfriisk: Düner
Frysk: Dún
galego: Duna
hrvatski: Pješčana dina
Kreyòl ayisyen: Din
magyar: Dűne
հայերեն: Դյուներ
Bahasa Indonesia: Gumuk
Ido: Duno
íslenska: Sandalda
italiano: Duna
日本語: 砂丘
ქართული: დიუნა
한국어: 사구
Кыргызча: Дюна
Latina: Thinium
lietuvių: Kopa
latviešu: Kāpa
македонски: Дина
Bahasa Melayu: Gumuk
Plattdüütsch: Düün
Nederlands: Duin
norsk nynorsk: Sanddyne
norsk: Sanddyne
Nouormand: Mielle
occitan: Duna
Picard: Cro
polski: Wydma
português: Duna
română: Dună
русский: Дюна
sicilianu: Muntarozzu
Scots: Dune
سنڌي: ڀٽ
srpskohrvatski / српскохрватски: Dina
සිංහල: වැලි කඳු
Simple English: Dune
slovenčina: Piesočná duna
slovenščina: Sipina
shqip: Duna
српски / srpski: Дина (рељеф)
svenska: Sanddyn
Türkçe: Kumul
українська: Дюни
oʻzbekcha/ўзбекча: Dyuna
Tiếng Việt: Đụn cát
West-Vlams: Dune
Zeêuws: Kliengen
中文: 沙丘
Bân-lâm-gú: Soa-lūn
粵語: 沙丘