Tandaraka

Tandaraka
Tandaraka Mkubwa (Tenrec ecaudatus)
Tandaraka Mkubwa
(Tenrec ecaudatus)
Uainishaji wa kisayansi
Domeni:Eukaryota
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda ya juu:Afrotheria (Wanyama wenye asili ya Afrika)
Oda:tandaraka)
Nusuoda:Tenrecomorpha (Wanyama kama tandaraka)
Familia:Tenrecidae (Wanyama walio na mnasaba na tandaraka)
J. E. Gray, 1821
Ngazi za chini

Nusufamilia 4:

Geogalinae Trouessart, 1881
Oryzorictinae Dobson, 1882
Potamogalinae Allmann, 1865
Tenrecinae J. E. Gray, 1821

Jenasi 1 ya Geogalinae:

Geogale Milne-Edwards & A. Grandidier, 1872

Jenasi 3 za Oryzorictinae:

Limnogale Major, 1896
Microgale Thomas, 1882
Oryzorictes Grandidier, 1870

Jenasi 2 za Potamogalinae:

Micropotamogale Heim de Balsac, 1954
Potamogale Du Chaillu, 1860

Jenasi 4 za Tenrecinae:

Echinops Martin, 1838
Hemicentetes Mivart, 1871
Setifer Froriep, 1806
Tenrec de Lacépède, 1799

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tandaraka (kutoka Kimalagasi: tandraka) ni wanyama wadogo wa familia Tenrecidae. Takriban spishi zote zinatokea Madagaska tu. Tandaraka mkubwa anatokea Komori, Morisi, Reunion na Shelisheli pia. Spishi za Potamogalinae (wamepulu) zinatokea bara la Afrika. Tandaraka wana maumbo mbalimbali; wengine wanafanana na kalunguyeye, wengine na virukanjia, vipanya, oposumu na hata na fisi-maji. Hii ni kwa sababu ya convergent evolution. Spishi ndogo kabisa ina urefu wa sm 4.5 na uzito wa g 5, ile kubwa kabisa urefu wa sm 25–39 na uzito wa zaidi ya kg 1. Ingawa mfanano, tandaraka hawana mnasaba na kalunguyeye, vipanya na wanyama wengine ambao wanafanana nao. Wana mnasaba na fuko-dhahabu na sengi na wamo katika jamii ya Afrotheria pamoja na pimbi, wahanga, tembo na nguva. Kinyume na mamalia wengine tandaraka wana funuo moja tu (kloaka) ili kupisha mavi, mikojo na watoto. Hukiakia usiku na hawawezi kuona vizuri, lakini wasikia sauti na harufu vizuri sana. Wanaweza kusikia sana kwa manyoya ya masharubu pia. Hula vitu vyingi lakini invertebrata hasa.

Spishi

Other Languages
беларуская: Тэнрэкавыя
български: Тенреци
brezhoneg: Tenrek
català: Tenrec
Cebuano: Tenrecidae
čeština: Bodlínovití
Deutsch: Tenreks
English: Tenrec
español: Tenrecidae
euskara: Tenrecidae
فارسی: تیغ‌پشت
suomi: Tanrekit
français: Tenrecidae
galego: Tenrécidos
עברית: טנרקיים
հայերեն: Տենրեկներ
italiano: Tenrecidae
한국어: 텐렉과
Limburgs: Tenreks
lietuvių: Tenrekiniai
latviešu: Tenreku dzimta
Nederlands: Tenreks
occitan: Tenrecidae
polski: Tenrekowate
português: Tenrecidae
русский: Тенрековые
Scots: Tenrec
Simple English: Tenrec
svenska: Tanrekar
Türkçe: Tenrekgiller
українська: Тенрекові
Tiếng Việt: Tenrecidae
Winaray: Tenrecidae
中文: 马岛猬科