Shmuel Yosef Agnon

Tuzo Nobel.png
Shmuel Yosef Agnon

Shmuel Yosef Agnon (17 Julai 188817 Februari 1970), au שמואל יוסף עגנון kwa Kiebrania, alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Israel. Alizaliwa nchini Poland na jina la Shmuel Yosef Halevi Czaczkes. Akiwa bado kijana alihamia Israel. Hasa aliandika riwaya, na lugha zake zilikuwa Kiebrania na KiYiddish. Mwaka wa 1966, pamoja na Nelly Sachs alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Inkwell icon - Noun Project 2512.svgMakala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shmuel Yosef Agnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
azərbaycanca: Şmuel Yosef Aqnon
беларуская (тарашкевіца)‎: Шмуэль Ёсэф Агнон
Deutsch: Samuel Agnon
հայերեն: Շմուել Ագնոն
Bahasa Indonesia: Samuel Agnon
ქართული: შმუელ აგნონი
kurdî: Samuel Agnon
Lëtzebuergesch: Samuel Joseph Agnon
македонски: Шмуел Јозеф Агнон
norsk nynorsk: Samuel Josef Agnon
polski: Samuel Agnon
português: Shmuel Yosef Agnon
srpskohrvatski / српскохрватски: Shmuel Yosef Agnon
Simple English: Shmuel Yosef Agnon
slovenčina: Šmuel Josef Agnon
српски / srpski: Шмуел Јосиф Агнон
Tiếng Việt: Shmuel Yosef Agnon
Bân-lâm-gú: Shmuel Yosef Agnon