Serikali ya Víchy

Serikali ya Víchy ilitawala Ufaransa chini ya amri ya Ujerumani wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Iliongozwa na Jemadari Philippe Pétain na makao makuu yalikuwepo mjini Vichy katika kusini ya Ufaransa.

Petain alikubali kuunda serikali hii baada ya Ufaransa ilishindwa na Ujerumani mwaka 1940. Kati ya Julai 1940 hadi Novemba 1942 serikali ya Vichy ilikuwa na mamlaka juu ya kusini ya Ufaransa ambako wanajeshi wa Ujerumani hawakuingia kufuatana na mapatano ya kusimamisha vita. Kaskazini ya Ufaransa ilikuwa chini ya amri ya kijeshi ya Kijerumani lakini hata hapa serikali ya Vichy ilikuwa na mamlaka ya kusimamia uatawala wa miji na polisi ya Kifaransa.

Sehemu ya koloni za Ufaransa hasa katika Asia (Indochina) zilikubali mamlaka ya Vichy. Koloni katika Afrika zilifuata serikali ya "Ufaransa Huru" iliyoongozwa na Charles de Gaulle.

Tangu mwisho wa 1942 Ujerumani ulipeleka wanajeshi pia katika kusini ya nchi baada ya Wamarekani kufika Afrika ya Kaskazini na kutisha utawala wao katika kusini ya Ulaya.

Baada ya uvamizi wa maadui wa Ujerumani katika Ufaransa Kaskazini sehemu kubwa ya Wafaransa walisimama upande wa Charles de Gaulle na serikali ya Petain ilipaswa kukimbia Ujerumani. Maafisa wake walikamatwa huko 1945.

Hourglass.svgMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Serikali ya Víchy kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
asturianu: Francia de Vichy
azərbaycanca: Vişi rejimi
беларуская: Рэжым Вішы
беларуская (тарашкевіца)‎: Рэжым Вішы
български: Режим на Виши
brezhoneg: Renad Vichy
Чӑвашла: Виши режимĕ
Deutsch: Vichy-Regime
emiliàn e rumagnòl: Guèr'n ad Vichy
English: Vichy France
Esperanto: Reĝimo de Vichy
français: Régime de Vichy
հայերեն: Վիշի (ֆաշիզմ)
Bahasa Indonesia: Perancis Vichy
íslenska: Vichy-stjórnin
ქართული: ვიშის რეჟიმი
한국어: 비시 프랑스
Кыргызча: Виши өкмөтү
lietuvių: Viši režimas
latviešu: Višī Francija
Bahasa Melayu: Perancis Vichy
Nederlands: Vichy-Frankrijk
norsk nynorsk: Vichy-regimet
پنجابی: وشی فرانس
português: França de Vichy
русский: Режим Виши
srpskohrvatski / српскохрватски: Višijevska Francuska
Simple English: Vichy France
slovenčina: Francúzsky štát
svenska: Vichyregimen
Türkçe: Vichy Fransası
українська: Режим Віші
Tiếng Việt: Chính phủ Vichy
中文: 維希法國
Bân-lâm-gú: Vichy Hoat-kok
粵語: 維希法國