Samoa ya Marekani

Amerika Samoa/Samoa Amelika
Samoa ya Marekani
Bendera ya Samoa ya MarekaniNembo ya Samoa ya Marekani
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa: "Samoa, Muamua Le Atua"  (Kisamoa)
"Samoa, Mungu awe mwanzo"
Wimbo wa taifa:
Lokeshen ya Samoa ya Marekani
Mji mkuu
Mji mkubwa nchini
Lugha rasmiKiingereza, Kisamoa
Serikali
Mkuu wa Dola
Gavana

Donald Trump
Lolo Letalu Matalasi Moliga
Eneo la ng'ambo la Marekani
Mkataba wa Berlin wa 1899
Mkataba wa kukabidhi Tutila
Mkataba wa kukabidhi Manu'a
1899
1900
1904
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
199 km² (ya 212)
0
Idadi ya watu
 - 2013 kadirio
 - 2010 sensa
 - Msongamano wa watu
 
54,719 (ya 208)
55,519
326/km² (ya 38)
FedhaUS Dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-11)
not observed (UTC)
Intaneti TLD.as
Kodi ya simu+1 684

-Samoa ya Marekani (kwa Kisamoa: Amerika Samoa au Samoa Amelika) ni Eneo la ng'ambo la Marekani katika bahari ya Pasifiki upande wa kusini wa nchi huru ya Samoa.

Kuna wakazi 54,719 (wengi wakiwa wametokana na wakazi asili) katika eneo la nchi kavu la km² 199.

Eneo lake ni sehemu ya funguvisiwa la Samoa. Kutokea kwa eneo la pekee kulisababishwa na ukoloni wa karne ya 19 ambako Ujerumani na Marekani zilishindana juu ya visiwa hivyo. Funguvisiwa liligawiwa kwa mkataba wa Berlin wa 1899. Sehemu ya mashariki ikawa upande wa Marekani na sehemu ya magharibi upande wa Ujerumani.

Kwa katiba ya mwaka 1967 Samoa ya Marekani ilipewa madaraka ya kujitawala.

Upande wa dini, karibu wote ni Wakristo, hasa Wakalvini (50%) na Wakatoliki (20%), kama si Wamormoni.

  • tazama pia

Tazama pia


Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | Nyuzilandi | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua Guinea Mpya | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Samoa ya Marekani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Other Languages
Afrikaans: Amerikaans-Samoa
Alemannisch: Amerikanisch-Samoa
asturianu: Samoa Americana
azərbaycanca: Amerika Samoası
башҡортса: Америка Самоаһы
Bikol Central: Amerikanong Samoa
беларуская (тарашкевіца)‎: Амэрыканскае Самоа
বিষ্ণুপ্রিয়া মণিপুরী: আমেরিকান সামোয়া
brezhoneg: Samoa Amerikan
bosanski: Američka Samoa
Chavacano de Zamboanga: American Samoa
Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄: Mī-guók liāng Samoa
čeština: Americká Samoa
Cymraeg: Samoa America
ދިވެހިބަސް: އެމެރިކަން ސަމޯއާ
Esperanto: Usona Samoo
español: Samoa Americana
客家語/Hak-kâ-ngî: Mî-koet liâng Samoa
Fiji Hindi: American Samoa
hrvatski: Američka Samoa
Bahasa Indonesia: Samoa Amerika
italiano: Samoa Americane
Qaraqalpaqsha: Amerikalıq Samoa
kernowek: Samoa Amerikan
Lingua Franca Nova: Samoa American
lietuvių: Amerikos Samoa
latviešu: ASV Samoa
македонски: Американска Самоа
Bahasa Melayu: Samoa Amerika
Nederlands: Amerikaans-Samoa
norsk nynorsk: Amerikansk Samoa
Kapampangan: Amerika Samoa
Norfuk / Pitkern: Merikan Samoa
português: Samoa Americana
Runa Simi: Amirika Samwa
русиньскый: Америцька Самоа
Kinyarwanda: Samowa Nyamerika
sicilianu: Samoa Miricana
davvisámegiella: Amerihká Samoa
srpskohrvatski / српскохрватски: Američka Samoa
Simple English: American Samoa
slovenčina: Americká Samoa
slovenščina: Ameriška Samoa
Gagana Samoa: Amerika Sāmoa
chiShona: American Samoa
српски / srpski: Америчка Самоа
Basa Sunda: Samoa Amérika
татарча/tatarça: Америка Самоасы
oʻzbekcha/ўзбекча: Sharqiy Samoa
Tiếng Việt: Samoa thuộc Mỹ
მარგალური: ამერიკაშ სამოა
Bân-lâm-gú: Bí-kok léng Samoa