Rais wa Marekani

Rais wa Marekani ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali ya Marekani na ni rasmi juu ya siasa katika Umoja wa Mataifa kwa kuathiriwa na kutambuliwa. Rais analiongoza tawi la serikali ya shirikisho na ni mmoja wa wanaochaguliwa katika uchaguzi wa kitaifa (mwingine akiwa makamu wa rais wa Marekani). [1]

Kati ya mamlaka na majukumu mengine, ibara ya II ya Katiba ya Marekani inampa rais jukumu la kutumikia kiaminifu shirikisho sheria, humfanya rais kamanda mkuu wa majeshi, inaruhusu rais kuteua watendaji na maafisa wa mahakama na ushauri na ridhaa ya kamati na inaruhusu rais kusamehe na kuzuia ruzuku.

Kutokana na Marekani kuwa sasa kama superpower, rais wa Marekani huonekana kama mtu mwenye nguvu zaidi katika dunia. [2]

Rais huchaguliwa kupitia jopo la wapigakura kwa muda wa miaka minne. Tangia mwaka 1951, utawala wa marais umemekuwa ni mihula miwili kutokana na marekebisho ya katiba ya ishirini na mbili. Arobaini na tatu wamekuwa rais kwa kuchaguliwa na kuhudumia jumla ya mihula hamsini na sita ya muda wa miaka isiyozidi minne [3] Tarehe 20 Januari 2017, Donald Trump amekuwa rais wa arobaini na tano.

Other Languages
azərbaycanca: ABŞ prezidenti
башҡортса: АҠШ президенты
беларуская: Прэзідэнт ЗША
客家語/Hak-kâ-ngî: Mî-koet Chúng-thúng
Bahasa Indonesia: Presiden Amerika Serikat
latviešu: ASV prezidents
Dorerin Naoero: President (Eben Merika)
norsk nynorsk: President i USA
srpskohrvatski / српскохрватски: Predsjednik Sjedinjenih Američkih Država
татарча/tatarça: АКШ президенты
українська: Президент США
oʻzbekcha/ўзбекча: AQSh Prezidenti
Tiếng Việt: Tổng thống Hoa Kỳ
吴语: 美國總統
中文: 美国总统
文言: 美國總統
Bân-lâm-gú: Bí-kok chóng-thóng
粵語: 美國總統