Papa Leo I
English: Pope Leo I

Papa Leo Mkuu anaheshimiwa sana na Waorthodoksi kama inavyoonyesha picha hii.

Papa Leo I (Italia ya kati, 400 hivi – Roma, Italia, 10 Novemba 461) alikuwa Papa kwa muda mrefu, kuanzia 29 Septemba, 440 hadi kifo chake, wakati usalama wa Roma ulikuwa unatishwa na makabila yasiyostaarabika. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo.

Alimfuata Papa Sixtus III akafuatwa na Papa Hilarius.

Ndiye Papa wa kwanza kuitwa "Mkuu" kutokana na mchango mkubwa alioutoa upande wa dini na wa siasa akiwajibika kuhudumia taifa la Mungu kwa kila namna. Ni kati ya Mapapa bora waliolipatia Kanisa la Roma sifa na kuliimarishia mamlaka yake wakati ile ya serikali ya jiji hilo ilikuwa inafifia zaidi na zaidi.

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu na babu wa Kanisa.

Mwaka 1754 Papa Benedikto XIV alimuongezea sifa ya mwalimu wa Kanisa.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Novemba.

Other Languages
Afrikaans: Pous Leo I
Boarisch: Leo I.
беларуская: Леў I (Папа Рымскі)
беларуская (тарашкевіца)‎: Леў I (папа рымскі)
български: Лъв I (папа)
brezhoneg: Leon Iañ (pab)
català: Papa Lleó I
Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄: Gáu-huòng Leo 1-sié
čeština: Lev I. Veliký
Ελληνικά: Πάπας Λέων Α΄
English: Pope Leo I
Esperanto: Leono la 1-a
فارسی: لئون یکم
français: Léon Ier (pape)
Gaeilge: Pápa Leon I
客家語/Hak-kâ-ngî: Kau-fòng Leo 1-sṳ
hrvatski: Lav I.
Bahasa Indonesia: Paus Leo I
Ilokano: Papa Leon I
italiano: Papa Leone I
Basa Jawa: Paus Leo I
ქართული: ლეო I
Latina: Leo I (papa)
latviešu: Leons I
Malagasy: Léon Ier
македонски: Папа Лав I
مازِرونی: لئون اول
Plattdüütsch: Leo I. (Paapst)
Nederlands: Paus Leo I
norsk nynorsk: Pave Leo I
occitan: Leon I (papa)
português: Papa Leão I
Runa Simi: Liyun I
sicilianu: Liuni I
Scots: Pape Leo I
srpskohrvatski / српскохрватски: Papa Lav I
Simple English: Pope Leo I
slovenčina: Lev I. (pápež)
slovenščina: Papež Leon I.
српски / srpski: Папа Лав I
svenska: Leo I (påve)
Tagalog: Leon I Magno
Türkçe: I. Leo
українська: Лев I
Tiếng Việt: Giáo hoàng Lêô I
Winaray: Papa Leon I
Yorùbá: Pópù Leo 1k
Bân-lâm-gú: Kàu-hông Leo 1-sè
粵語: 聖良一世