Papa Gregori IX

Papa Gregori IX.

Papa Gregori IX (takriban 114322 Agosti 1241) alikuwa papa kuanzia mwaka 1227 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ugolino dei Conti.

Alimfuata Papa Honori III akafuatwa na Papa Selestini IV.

Rafiki wa Fransisko wa Asizi, alifanywa kardinali mlinzi wa shirika la Ndugu Wadogo akatabiriwa naye upapa.

Baada ya utabiri kutimia, ndiye aliyemtangaza mtakatifu huko Assisi mwaka 1228.

  • viungo vya nje

Viungo vya nje

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
български: Григорий IX
brezhoneg: Gregor IX
català: Gregori IX
Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄: Gáu-huòng Gregorius 9-sié
čeština: Řehoř IX.
Deutsch: Gregor IX.
Esperanto: Gregorio la 9-a
español: Gregorio IX
euskara: Gregorio IX.a
français: Grégoire IX
客家語/Hak-kâ-ngî: Kau-fòng Gregorius 9-sṳ
hrvatski: Grgur IX.
Bahasa Indonesia: Paus Gregorius IX
ქართული: გრიგოლ IX
Latina: Gregorius IX
lietuvių: Grigalius IX
latviešu: Gregors IX
македонски: Папа Григориј IX
Nederlands: Paus Gregorius IX
norsk: Gregor IX
occitan: Gregòri IX
polski: Grzegorz IX
português: Papa Gregório IX
Runa Simi: Griguryu IX
русский: Григорий IX
sicilianu: Grigoriu IX
srpskohrvatski / српскохрватски: Grgur IX.
Simple English: Pope Gregory IX
slovenščina: Papež Gregor IX.
српски / srpski: Папа Гргур IX
svenska: Gregorius IX
Türkçe: IX. Gregorius
українська: Григорій IX
粵語: 國瑞九世