Mkonge Dume

Mkonge dume
Mkonge dume
Mkonge dume
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Plantae (mimea)
(bila tabaka):Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka):Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
Oda:Asparagales (Mimea kama mwinikanguu)
Familia:Asparagaceae (Mimea iliyo mnasaba na mwinikanguu)
Jenasi:Agave (Mikonge-pori)
L.
Spishi:A. sisalana
Perrine

Mkonge dume au mkatani ni spishi ya mmea katika familia Asparagaceae unaokuzwa kwa ajili ya vitembwe vyake au katani.

Asili na uenezi

Mkonge dume ni kiasili mmea wa Meksiko lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropiki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa zao la katani. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani la Afrika ya Mashariki. Kwa miaka mingi Tanzania iliongoza duniani katika zao hilo.

Other Languages
Afrikaans: Garingboom
አማርኛ: ቃጫ
العربية: أغاف سيزال
azərbaycanca: Sizal aqavası
Bikol Central: Sisal
български: Сизал
বাংলা: সিসাল
català: Sisal
čeština: Agáve sisalová
dansk: Sisal
Deutsch: Sisal-Agave
English: Sisal
Esperanto: Sisalo
español: Agave sisalana
euskara: Sisal
فارسی: سیسال
français: Agave sisalana
hrvatski: Sisal
hornjoserbsce: Zizalowc
Kreyòl ayisyen: Pit
Bahasa Indonesia: Agave sisalana
íslenska: Sísallilja
italiano: Agave sisalana
lietuvių: Sizalinė agava
മലയാളം: സൈസൽ
Bahasa Melayu: Pokok Agav Sisal
Nāhuatl: Nequēnnetl
Nederlands: Sisal (vezel)
norsk: Sisal
português: Sisal
Runa Simi: Sisal
română: Sisal
slovenčina: Sisal
chiShona: Gonje
svenska: Sisal
தமிழ்: கதலை
Türkçe: Sisal
українська: Агава сизальська
Tiếng Việt: Thùa sợi
中文: 剑麻
粵語: 劍麻