Michael Pupin

Michael Idvorsky Pupin (4 Oktoba 185812 Machi 1935) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza na kuboresha mawasiliano ya simu. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa tawasifu yake From Immigrant to Inventor ("Kwanza Mhamiaji, halafu Mvumbuzi").

Scientist.svgMakala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Pupin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
bosanski: Mihajlo Pupin
català: Mihajlo Pupin
čeština: Michael Pupin
English: Mihajlo Pupin
Esperanto: Mihajlo Pupin
español: Michael Pupin
euskara: Mihajlo Pupin
hrvatski: Mihajlo Pupin
Kreyòl ayisyen: Michael Pupin
македонски: Михајло Пупин
Nederlands: Michael Pupin
português: Michael Pupin
русский: Пупин, Михаил
русиньскый: Михайло Пупин
srpskohrvatski / српскохрватски: Mihajlo Pupin
slovenščina: Mihajlo Pupin-Idvorski
српски / srpski: Михајло Пупин
українська: Михайло Пупін