Mbelewele

Inzi anayekaa juu ya chavulio za ua; punje njano ni mbelewele
Punje za mbelewele za maua mbalimbali chini ya hadubini. Ukubwa halisi ya kichwa ni milimita 2.5

Mbelewele au chavua ni punje zenye seli za kuzaa za kiume ndani ya maua. Zinapatikana kwenye chavulio juu ya stameni ya ua. Mbelewele ni lazima kwa mbegu wa mmea kujitokeza.

Mimea mingine huwa na mbelewele nyepesi inayosambazwa na upepo na kufikia kwenye kapeli ya ua.

Kuna aina nyingine yenye mbelewele nzitonzito inayonata ikiguswa. Aina hizi zina proteini na sukari hivyo zinapendwa kama chakula cha wadudu.

Kama mdudu kwa mfano nyuki au inzi anafikia ua anaanza kula au kukusanya mbelewele. Wakati wa kazi hii punje nyingi zinanata mwilini na mguuni wa mdudu anayezipeleka kwa maua mengine na kuzitungisha kwa njia hii.

Nyuki hukusanya mbelewele na kuipeleka kwenye mzinga wa nyuki inapotunza katika vyumba vya sega. Hapa inageukia kuwa asali.


Morpho didius Male Dos MHNT.jpgMakala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbelewele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
Afrikaans: Stuifmeel
العربية: حبوب اللقاح
asturianu: Polen
azərbaycanca: Çiçək tozu
башҡортса: Һеркә
беларуская: Пылок
български: Цветен прашец
bosanski: Polen
català: Pol·len
čeština: Pyl
Чӑвашла: Шăрка
Cymraeg: Paill
dansk: Pollen
Deutsch: Pollen
Ελληνικά: Γύρη
English: Pollen
Esperanto: Poleno
español: Polen
eesti: Õietolm
euskara: Polen
فارسی: گرده
suomi: Siitepöly
français: Pollen
Gaeilge: Pailin
Gàidhlig: Poilean
galego: Pole
हिन्दी: पराग
hrvatski: Cvjetni pelud
magyar: Virágpor
հայերեն: Ծաղկափոշի
interlingua: Polline
Bahasa Indonesia: Serbuk sari
Ido: Poleno
íslenska: Frjóduft
italiano: Polline
日本語: 花粉
қазақша: Тозаң
한국어: 꽃가루
Latina: Pollen
lietuvių: Žiedadulkė
latviešu: Putekšņi
македонски: Полен
മലയാളം: പരാഗം
Bahasa Melayu: Debunga
مازِرونی: گرده (نمین)
Plattdüütsch: Pollen
Nederlands: Stuifmeel
norsk nynorsk: Pollen
norsk: Pollen
occitan: Pollèn
polski: Pyłek
پنجابی: پراگ (پھل)
português: Pólen
Runa Simi: Sisa
română: Polen
русский: Пыльца
sicilianu: Pòllini
Scots: Pollen
srpskohrvatski / српскохрватски: Pelud
Simple English: Pollen
slovenčina: Včelí peľ
slovenščina: Cvetni prah
српски / srpski: Полен
svenska: Pollen
தமிழ்: மகரந்தம்
తెలుగు: పుప్పొడి
Türkmençe: Tozgajyk
Türkçe: Polen
українська: Пилок
oʻzbekcha/ўзбекча: Chang donachalari
Tiếng Việt: Phấn hoa
中文: 花粉