Lugha za Kibalti

Makabila ya Wabalti takriban miaka 800 yaliyopita.

Lugha za Kibalti (pia: Kibaltiki) ni kundi la lugha za Ulaya ambazo ni tawi la familia ya lugha za Kihindi-Ulaya.

Wasemaji wao wanapatikana katika maeneo upande wa mashariki-kusini ya Bahari Baltiki. Leo hii kuna lugha 2 za Kibalti ambazo ni Kilithuania na Kilatvia.

Zamani kulikuwa na lugha zaidi lakini hizi zilikwisha hadi karne ya 18. Makabila yaliyotumia lugha hizi ziliwahi kukalia maeneo kati ya mto Vistula na milima ya Urali. Tangu mnamo mwaka 1200 BK yalifikia chini ya utawala wa milki za Waslavoni (Poland, Urusi) au Wajerumani na wasemaji wengi walibadilisha lugha walipokea lugha za Kislavoni au za Kigermanik.

Lugha za ibalti ni maarufu kwa sababu sarufi yao imebaki karibu sana kwa Kihindi-Kiulaya asilia kuliko lugha zote nyingine zilizopo leo hii. Uhusiano huu unaoekana kwa kulinganisha lugha ya Veda ya Uhindi na lugha za Kibalti.

Other Languages
Afrikaans: Baltiese tale
aragonés: Luengas balticas
العربية: لغات بلطيقية
azərbaycanca: Baltik dilləri
žemaitėška: Baltu kalbas
беларуская: Балтыйскія мовы
беларуская (тарашкевіца)‎: Балтыйскія мовы
български: Балтийски езици
brezhoneg: Yezhoù baltek
čeština: Baltské jazyky
dolnoserbski: Baltiske rěcy
Esperanto: Balta lingvaro
føroyskt: Baltisk mál
français: Langues baltes
Nordfriisk: Baltisk spriaken
hornjoserbsce: Baltiske rěče
Bahasa Indonesia: Rumpun bahasa Baltik
italiano: Lingue baltiche
日本語: バルト語派
한국어: 발트어파
Lingua Franca Nova: Linguas baltica
Limburgs: Baltische taole
lietuvių: Baltų kalbos
latviešu: Baltu valodas
македонски: Балтички јазици
Nederlands: Baltische talen
norsk nynorsk: Baltiske språk
Piemontèis: Lenghe bàltiche
português: Línguas bálticas
română: Limbi baltice
davvisámegiella: Baltijalaš gielat
srpskohrvatski / српскохрватски: Baltički jezici
Simple English: Baltic languages
slovenčina: Baltské jazyky
slovenščina: Baltski jeziki
српски / srpski: Балтички језици
Türkçe: Baltık dilleri
українська: Балтійські мови
oʻzbekcha/ўзбекча: Boltiq tillari