Kanisa Katoliki la Kisiria

Makao makuu ya Kanisa huko Damasko.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
StPetersBasilicaEarlyMorning.jpg
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu ( Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho  Maisha ya Yesu
Msalaba  Ufufuko  Kupaa
Historia ya Wokovu  Ufunuo
Biblia  Mapokeo  Ualimu  Dogma
Neema  Dhambi  Wokovu  Sakramenti
Watakatifu  Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu  Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia  Ukristo
Ukatoliki  Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa  Utetezi  Ekumeni
Maisha ya kiroho  Amri Kumi  Utawa
Sala  Falsafa  Teolojia
Muziki  Sanaa  Sayansi

Ibada

Liturujia  Mwaka wa Kanisa
Ekaristi  Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini ( Roma  Trento  Milano  Toledo  Braga  Lyon  Canterbury)
Liturujia ya Armenia  Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki  Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Kanisa Katoliki la Kisiria (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܣܘܪܝܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ, ʿīṯo suryaiṯo qaṯolīqaiṯo) ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.

Linafuata mapokeo ya Antiokia na kutumia liturujia ya Antiokia.

Patriarki wake ni Mor Ignatius Joseph III Younan tangu mwaka 2009. Makao yake ni Beirut nchini Lebanon.

Majimbo

Kanisa hilo liliungana rasmi na Kanisa la Roma mwaka 1781. Kwa sasa lina ma jimbo yafuatayo:

Maaskofu wa sasa

 • Moran Mor Ignatius Joseph III Younan (Patriarch of Antioch)
 • Jihad Mtanos Battah (Curial Bishop of Antioch and Titular Bishop of Phaena)
 • Basile Georges Casmoussa (Archbishop {personal title} and Curial Bishop of Antioch)
 • Flavien Joseph Melki (Curial Bishop of Antioch and Titular Archbishop of Dara dei Siri)
 • Jules Mikhael Al-Jamil (Auxiliary Bishop of Antioch and Titular Archbishop of Tagritum)
 • Gregorios Elias Tabé (Archbishop of Damascus)
 • Théophile Georges Kassab (Archbishop of Homs)
 • Denys Antoine Chahda (Archbishop of Aleppo)
 • Jacques Behnan Hindo (Archbishop of Hassaké-Nisibi)
 • Youhanna Boutros Moshe (Archbishop of Mossul)
 • Ephrem Yousif Abba Mansoor (Archbishop of Baghdad)
 • Athanase Matti Shaba Matoka (Archbishop Emeritus of Baghdad)
 • Clément-Joseph Hannouche (Bishop of Cairo)
 • Yousif Benham Habash (Bishop of Our Lady of Deliverance of Newark)
 • Timoteo Hikmat Beylouni (Apostolic Exarch of Venezuela and Titular Bishop of Sabrata)
 • Iwannis Louis Awad (Apostolic Exarch Emeritus of Venezuela and Titular Bishop of Zeugma in Syria)
 • Michael Berbari (Patriarchal Vicar of Australia and New Zealand)
Vifaa maalumu vya ibada.

Marejeo

 • Claude Sélis, Les Syriens orthodoxes et catholiques, Brepols (col. Fils d'Abraham), 20711473
 • Jean-Pierre Valognes, Vie et mort des Chrétiens d'Orient, Fayard, Paris, 1994, ISBN 2-213-03064-2
Other Languages