Kalenda ya Kiislamu

Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Nguzo za Kiislamu
Shahada • Swala • Saumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu Bakr • Ali
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

Qur'an • Sunnah • Hadithi
Elimu ya Sheria za Kiislamu • Kalam
Wasifu wa Muhammad
Sharia

Historia ya Uislamu

SunniShi'a • Kharijiya • Rashidun • Ukhalifa • Maimamu

Tamaduni za Kiislamu

Shule • Historia
Tauhidi • Falsafa • Sayansi
Sanaa • Ujenzi • Kalenda • Sikukuu
Wanawake
Viongozi • Siasa
Umma • Itikadi mpya • Sufii

Tazama pia

Hofu ya Uislamu

Kalenda ya Kiislamu ni mtindo wa kuratibu wakati unaopatikana katika nchi mbalimbali za Kiislamu. Tofauti na kalenda ya kawaida inayofuata jua hii ni kalenda ya mwezi.

Pia Waislamu wanaoishi katika mazingira yasiyo ya Kiislamu hutumia kalenda hii kwa ajili ya kupanga maisha yao ya kidini, hasa sikukuu na saumu.

Mahali pengi Kalenda ya Kiislamu hutumika pamoja na kalenda zinazofuata mwendo wa jua, hasa kalenda ya Gregori ambayo ndiyo iliyoenea zaidi duniani.

Other Languages
العربية: تقويم هجري
azərbaycanca: Hicri təqvim
беларуская (тарашкевіца)‎: Мусульманскі каляндар
Esperanto: Islama kalendaro
हिन्दी: हिजरी
interlingua: Calendario islamic
Bahasa Indonesia: Kalender Hijriyah
日本語: ヒジュラ暦
한국어: 이슬람력
कॉशुर / کٲشُر: اِسلامی تَقويٖم
Minangkabau: Kalender Hijriyah
македонски: Исламски календар
Bahasa Melayu: Takwim Hijrah
norsk nynorsk: Muslimsk tidsrekning
srpskohrvatski / српскохрватски: Islamski kalendar
Simple English: Islamic calendar
slovenčina: Islamský kalendár
slovenščina: Islamski koledar
српски / srpski: Исламски календар
Türkçe: Hicrî takvim
татарча/tatarça: Һиҗри тәкъвим
ئۇيغۇرچە / Uyghurche: ھىجرىيە تەقۋىمى
oʻzbekcha/ўзбекча: Islomiy taqvim
Tiếng Việt: Lịch Hồi giáo
吴语: 伊斯兰历
中文: 伊斯兰历
文言: 回曆
Bân-lâm-gú: Islam Le̍k-hoat
粵語: 回曆