Ignas wa Loyola

Ignas wa Loyola alivyochorwa na Peter Paul Rubens.

Ignas wa Loyola (kwa Kieuskara Ignazio Loiolakoa, kwa Kihispania Ignacio de Loyola) alizaliwa mwaka 1491 huko Loyola, Guipúzcoa, Hispania akafariki tarehe 31 Julai 1556 mjini Roma (leo nchini Italia).

Alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Yesu na wa mtindo wa mazoezi ya kiroho.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 27 Julai 1609, halafu Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.Kutokana na heshima yake jina lake ni jina la shule iliyopo kigogo Dar es salaam.

Patakatifu pake huko Loyola, palipojengwa mahali alipozaliwa.
Ignas katika deraya yake kama askari.
Njozi za Ignas.
Ignas kama mkuu wa shirika.
Other Languages
azərbaycanca: İqnati Loyola
Bikol Central: Ignacio de Loyola
беларуская: Ігнацій Лаёла
беларуская (тарашкевіца)‎: Ігнацы Ляёля
български: Игнатий Лойола
brezhoneg: Ignas Loyola
čeština: Ignác z Loyoly
Esperanto: Ignaco Lojola
français: Ignace de Loyola
Kreyòl ayisyen: Inias Loyola
Bahasa Indonesia: Ignatius dari Loyola
íslenska: Ignatius Loyola
lietuvių: Ignacas Lojola
Bahasa Melayu: Ignatius dari Loyola
Piemontèis: Ignassi ëd Loyola
português: Inácio de Loyola
srpskohrvatski / српскохрватски: Ignacije Loyola
Simple English: Ignatius of Loyola
slovenčina: Ignác z Loyoly
slovenščina: Ignacij Lojolski
српски / srpski: Игнасио де Лојола
українська: Ігнатій Лойола
Tiếng Việt: Inhaxiô nhà Loyola