Guadalajara, Jalisco

Jiji la Guadalajara
Skyline ya Jiji la Guadalajara
Nchi Mexiko
Jimbo Jalisco
Idadi ya wakazi
 - 1,579,174
www.Guadalajara.gob.mx

Guadalajara ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Jalisco. Ni mji upande wa kati ya jimbo na magharibi ya nchi Mexiko. Idadi ya wakazi ni 1,579,174, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 4,095,174. Guadalajara ni mji mkubwa wa pili nchini Mexiko. Uneo lake ni 151 km².

Jina la mji limetokana na mji wa Guadalajara katika Hispania. Jina ni ya Kiarabu Wadi-al-Hajara (وادي الحجارة), maana yake ni Bonde la Changarawe.

Mji ulianzishwa na Cristóbal de Oñate mwaka 1531.


Location Guadalajara.png
Mexico Flag Map.svgMakala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guadalajara, Jalisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
Afrikaans: Guadalajara
العربية: غوادالاخارا
azərbaycanca: Quadalaxara
беларуская: Гвадалахара
беларуская (тарашкевіца)‎: Гвадаляхара
български: Гуадалахара
нохчийн: Гвадалахара
English: Guadalajara
Esperanto: Gvadalaharo
magyar: Guadalajara
հայերեն: Գվադալախարա
Bahasa Indonesia: Guadalajara, Meksiko
Interlingue: Guadalajara
Ilokano: Guadalajara
ქართული: გვადალახარა
Gĩkũyũ: Guadalajara
қазақша: Гвадалахара
Кыргызча: Гвадалахара
Malagasy: Guadalajara
македонски: Гвадалахара
മലയാളം: ഗ്വാഡലഹാര
Bahasa Melayu: Guadalajara
Nāhuatl: Atemaxac
norsk nynorsk: Guadalajara i Jalisco
polski: Guadalajara
português: Guadalajara
русский: Гвадалахара
srpskohrvatski / српскохрватски: Guadalajara (Jalisco)
Simple English: Guadalajara
Türkçe: Guadalajara
oʻzbekcha/ўзбекча: Gvadalahara
vepsän kel’: Gvadalahar
Tiếng Việt: Guadalajara, Jalisco
Winaray: Guadalajara
მარგალური: გვადალახარა
Bân-lâm-gú: Guadalajara, Jalisco