Forbes

Makao makuu ya zamani ya Forbes 5th Avenue huko Manhattan (kwa sasa linamilikiwa na chuo kikuu cha New York)

Forbes ni gazeti la kibiashara la Marekani ambalo huchapishwa mara mbili kwa wiki, huku likiangazia masuala ya fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Forbes pia humulika mambo yanayoendana na hayo, yakiwamo masuala ya teknolojia, mawasiliano, sayansi, siasa na sheria. Washindani wao katika biashara ya magazeti kitaifa ni pamoja na Fortune na Bloomberg Businessweek.

Gazeti hili hujulikana sana kwa kutoa takwimu, orodha na madaraja ya vitu/mambo mbalimbali kama vile takwimu ya Orodha ya watu tajiri zaidi nchini Marekani (the Forbes 400) na madaraja ya makampuni makubwa zaidi duniani (the Forbes Global 2000). Orodha nyingine maarufu iliyowahi kufanywa na Forbes ni orodha ya mabilionea wakubwa zaidi duniani The World's Billionaires[1].

Kaulimbiu ya gazeti la Forbes ni ("The Capitalist Tool") na mhariri mkuu (chief editor) wake ni Steve Forbes, na mkurugenzi (Chief executive officer) wake ni Mike Perlis.

Makao makuu yake yapo katika jiji la Jersey City, New Jersey, lakini ilitangazwa mnamo 18 Julai 2014 kwamba wanahisa wakubwa wa gazeti hilo ni kutoka Hong Kong, China.[2][3]

Other Languages
Afrikaans: Forbes
العربية: فوربس (مجلة)
asturianu: Forbes
azərbaycanca: Forbes (jurnal)
беларуская: Forbes
беларуская (тарашкевіца)‎: Forbes
български: Форбс
বাংলা: ফোর্বস
čeština: Forbes
Cymraeg: Forbes
dansk: Forbes
Ελληνικά: Forbes
English: Forbes
Esperanto: Forbes
español: Forbes
eesti: Forbes
euskara: Forbes
فارسی: فوربز
suomi: Forbes
Gaeilge: Forbes
Gàidhlig: Forbes
galego: Forbes
עברית: פורבס
hrvatski: Forbes
հայերեն: Ֆորբս
Bahasa Indonesia: Forbes
íslenska: Forbes
italiano: Forbes
Basa Jawa: Kalawarti Forbes
ქართული: Forbes
kurdî: Forbes
latviešu: Forbes
मैथिली: फोर्ब्स
Malagasy: Forbes
മലയാളം: ഫോബ്സ്
монгол: Forbes сэтгүүл
Bahasa Melayu: Forbes
مازِرونی: فوربس مجله
नेपाली: फोर्ब्स
norsk nynorsk: Tidsskriftet Forbes
norsk: Forbes
occitan: Forbes
ਪੰਜਾਬੀ: ਫੋਰਬਜ਼
polski: Forbes
پنجابی: فوربز
português: Forbes
русский: Forbes
Scots: Forbes
srpskohrvatski / српскохрватски: Forbes
Simple English: Forbes
slovenčina: Forbes (magazín)
shqip: Forbes
српски / srpski: Форбс
svenska: Forbes
ไทย: ฟอบส์
Türkçe: Forbes
українська: Forbes (журнал)
oʻzbekcha/ўзбекча: Forbes
Tiếng Việt: Forbes
吴语: 福布斯
მარგალური: Forbes
中文: 福布斯
粵語: 福布斯