Elizabeti wa Hungaria

Mt. Elizabeth wa Hungaria alivyochorwa na msanii wa Bavaria (1520 hivi), Musée de l’Œuvre Notre-Dame, Strasbourg (Ufaransa).

Elisabeth wa Hungaria (kwa Kijerumani Heilige Elisabeth von Thüringen, kwa Kihungaria Árpád-házi Szent Erzsébet), alizaliwa Pressburg, Hungaria (leo Bratislava, Slovakia) tarehe 7 Julai 1207, akafariki tarehe 17 Novemba 1231)[1] alikuwa malkia mdogo wa Thuringia kutoka Ufalme wa Hungaria. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Walutheri na Waanglikana kama mtakatifu.[2]

Other Languages
brezhoneg: Elesbed Hungaria
Bahasa Indonesia: Erzsébet dari Hongaria
Lëtzebuergesch: Elisabeth vun Thüringen
slovenščina: Elizabeta Ogrska