Edwin Krebs

Tuzo Nobel.png

Edwin Krebs (6 Juni, 191821 Desemba, 2009) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake ndani ya seli. Mwaka wa 1992, pamoja na Edmond Fischer, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Asichanganywe na Hans Adolf Krebs ambaye pia alikuwa mwanakemia na kupokea Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953.

Tuzo Nobel.pngMakala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin Krebs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
العربية: إدوين كريبس
беларуская: Эдвін Крэбс
čeština: Edwin G. Krebs
español: Edwin G. Krebs
euskara: Edwin Krebs
français: Edwin G. Krebs
hrvatski: Edwin G. Krebs
Bahasa Indonesia: Edwin Krebs
italiano: Edwin Krebs
қазақша: Эдвин Кребс
Plattdüütsch: Edwin Gerhard Krebs
پنجابی: ایڈون کربز
português: Edwin Krebs
русский: Кребс, Эдвин
Simple English: Edwin G. Krebs
slovenščina: Edwin G. Krebs
Türkçe: Edwin G. Krebs
українська: Едвін Кребс
Tiếng Việt: Edwin G. Krebs
Yorùbá: Edwin G. Krebs