Dr. Dre

Dr. Dre
Dr. Dre mnamo 2011
Dr. Dre mnamo 2011
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaAndre Romelle Young
Amezaliwa18 Februari 1965 (1965-02-18) (umri 53)
Asili yakeLos Angeles, California, Marekani
Aina ya muzikiHip hop, West Coast hip hop, Electronic rap, Gangsta funk, Gangsta rap
Kazi yakeRapa, mtayarishaji wa rekodi
AlaSauti, synthesizer, Kinanda, fonografia, mashine ya ngoma
Miaka ya kazi1984–hadi leo
StudioEpic, Ruthless, Priority, Death Row, Aftermath, Interscope
Ame/Wameshirikiana naEazy E, Ice Cube, The D.O.C, Snoop Dogg, N.W.A, 2Pac, Eminem, 50 Cent, The Game, Shade Sheist, Busta Rhymes, Xzibit, Royce Da 5'9", Jay-Z, Nas, Blackstreet, Stat Quo, Bishop Lamont, MC Ren, Obie Trice
TovutiDre2001.com

Andre Romelle Young (amezaliwa tar. 18 Februari 1965) ni mtayarishaji wa rekodi, rapa, na mmiliki wa studio ya rekodi za muizki kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Dr. Dre. Dre ni mwanzilishi na mmiliki wa sasa Aftermath Entertainment na mmiliki mshiriki-msanii wa zamani wa studio ya Death Row Records, na pia kutayarisha albamu kadhaa kwa ajili yake na wasanii wengine kadhaa wa rekodi hiyo kama vile Snoop Dogg na Eminem.

Akiwa kama mtayarishaji, amejipatia sifa sana kwa kuukuza muziki wa West Coast G-funk, staili ya muziki wa rap unaotengenezwa na synthesizer-yenye ya taratibu, na mdundo wa nguvu.

Dr. Dre alianza shughuli za muiki akiwa kama mmoja kati ya wanamchama wa kundi la muziki la World Class Wreckin' Cru na kisha baadaye akaanzisha kundi lenye athira kubwa ya gangsta rap la N.W.A, ambayo ilivuma sana kwa mashairi yake mazito yenye kutaja maisha ya kiharifu na mtaani kwa ujumla.[1]Mnamo mwaka wa 1992, alitoa albamu kama msanii wa kujitegemea. Na albamu ilikwenda kwa jina la The Chronic, ilitolewa ikiwa chini ya Death Row Records, na kumpelekea kuwa mmoja katia ya wasanii waliouza rekodi bora za muziki wa Marekani kwa mwaka wa 1993[2] na kushinda Tuzo ya Grammy kwa ajili ya single ya "Let Me Ride".

Mnamo mwaka wa 1996, aliondoka Death Row na kwenda kuanzisha studio yake mwenyewe ya Aftermath Entertainment, na kutoa albamu ya mchanganyiko ya Dr. Dre Presents the Aftermath, kunako 1996, na ksiha baadaye akatoa albamu yake nyingine iliyokwendwa kwa jina la 2001, kunako 1999, ambayo ili mfanya ashinde Tuzo ya Grammy akiwa kama mtayarisha bora.

Kunako miaka ya 2000, aliekeza shughuli zake za utayarishaji wa muziki kwa wasanii wengine, wakati muda huo akawa anashiriki katika kutia sauti kwenye baadhi ya nyimbo za wasanii wengine.

Rolling Stone wamemwita ni mmoja kati ya wasanii waliolipwa pesa nyingi sana kwa mwaka wa 2001[3] na 2004.[4] Dr. Dre also had acting roles in the 2001 films The Wash and Training Day.[5]

Other Languages
العربية: دكتور دري
asturianu: Dr. Dre
azərbaycanca: Dr. Dre
تۆرکجه: دوکتور دره
žemaitėška: Dr. Dre
български: Доктор Дре
bosanski: Dr. Dre
català: Dr. Dre
čeština: Dr. Dre
dansk: Dr. Dre
Deutsch: Dr. Dre
Ελληνικά: Dr. Dre
English: Dr. Dre
Esperanto: Dr. Dre
español: Dr. Dre
eesti: Dr. Dre
euskara: Dr. Dre
فارسی: دکتر دره
suomi: Dr. Dre
français: Dr. Dre
Frysk: Dr. Dre
Gaeilge: Dr. Dre
Gàidhlig: Dr. Dre
galego: Dr. Dre
עברית: ד"ר דרה
hrvatski: Dr. Dre
magyar: Dr. Dre
հայերեն: Dr. Dre
Bahasa Indonesia: Dr. Dre
italiano: Dr. Dre
ქართული: Dr. Dre
қазақша: Дәрігер Дре
한국어: 닥터 드레
Latina: Dr. Dre
lietuvių: Dr. Dre
latviešu: Dr. Dre
Malagasy: Dr. Dre
македонски: Др. Дре
မြန်မာဘာသာ: Dr. Dre
Nederlands: Dr. Dre
norsk: Dr. Dre
occitan: Dr. Dre
ਪੰਜਾਬੀ: ਡਾ. ਡਰੇ
polski: Dr. Dre
português: Dr. Dre
română: Dr. Dre
русский: Dr. Dre
sicilianu: Dr. Dre
Scots: Dr. Dre
srpskohrvatski / српскохрватски: Dr. Dre
Simple English: Dr. Dre
slovenčina: Dr. Dre
slovenščina: Dr. Dre
Soomaaliga: Dr. Dre
shqip: Dr. Dre
Seeltersk: Dr. Dre
svenska: Dr. Dre
Türkçe: Dr. Dre
українська: Dr. Dre
Tiếng Việt: Dr. Dre
Winaray: Dr. Dre
Yorùbá: Dr. Dre
中文: 德瑞医生