Córdoba, Hispania

Kitovu cha kihistoria ya Cordoba pamoja na mesqita
Ndani ya Mesqita ya Cordoba

Cordoba (kwa Kihispania: Córdoba, tamka kor-do-ba) ni mji wa kihistoria wa Andalusia kusini mwa Hispania kando ya mto Guadalquivir. Ni makao makuu ya mkoa wa Cordoba. Kuna wakazi 321,000.

  • historia

Historia

Kwa jina la Corduba ulikuwa mji mkubwa wa Hispania kusini wakati wa Dola la Roma.

Tangu karne ya 3 ulikuwa makao ya askofu. Askofu Ossius wa Corduba alishirika katika Mtaguso wa Nikea.

Baadaye mji ulikuwa sehemu ya falme za Wavisigothi na Bizanti.

Mwaka 711 ulivamiwa na Waarabu Waislamu ukawa mji mkuu wa utemi na baadaye Ukhalifa wa Wamuawiya wa Cordoba. Wakati wa ukhalifa mji ukaitwa Qurtuba (kwa Kiarabu 'قرطبة') na ulikuwa na wakazi nusu milioni: ulikuwa kati ya miji mikubwa duniani ya karne yake. Wakazi walikuwa mchanganyiko wa Wakristo, Waislamu na Wayahudi.

Baada ya mwisho wa ukhalifa wa Cordoba mji ulivamiwa na majirani mbalimbali ukawa chini ya utawala wa Waabadiya wa Sevilla, tangu mwaka 1069 chini ya Wamurabitun kutoka Moroko na Wamuwahidun.

Mwaka 1236 jeshi la Wakristo kutoka Hispania kaskazini likateka mji likabaki chini ya utawala wao na kuwa sehemu ya Hispania ya Kikristo.

Kati ya majengo ya kihistoria kuna

  1. Daraja la Kiroma lilijengwa na Waroma wa Kale mwaka 45 likatengenezwa na kuimarishwa na Waarabu na Wahispania.
  2. Mezquita de Cordoba iliyoanzishwa mwaka 785 na Emir Abd ar Rahman kama msikiti uliopanuliwa mara kadhaa hadi kufunika eneo la 23,000. Mwaka 1236 ilibadilishwa kuwa kanisa kuu la mji.

Pamoja na majengo mengine yamepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO.

Other Languages
Alemannisch: Córdoba (Spanien)
አማርኛ: ኮርዶባ
aragonés: Cordoba
العربية: قرطبة
مصرى: كوردوبا
azərbaycanca: Kordova (İspaniya)
беларуская: Кордава (Іспанія)
беларуская (тарашкевіца)‎: Кордава (горад)
български: Кордоба
বাংলা: কর্দোবা
brezhoneg: Córdoba (Spagn)
català: Còrdova
کوردی: کۆردۆبا
Cymraeg: Córdoba
dansk: Córdoba
Ελληνικά: Κόρδοβα
eesti: Córdoba
euskara: Kordoba
estremeñu: Córduba
français: Cordoue
Nordfriisk: Córdoba
Gaeilge: Córdoba
Kreyòl ayisyen: Cordoue (Cordoue)
interlingua: Cordova (Espania)
Bahasa Indonesia: Córdoba, Spanyol
íslenska: Córdoba
italiano: Cordova
қазақша: Кордоба
kurdî: Kordoba
Latina: Corduba
Ladino: Kordova
Lëtzebuergesch: Córdoba
македонски: Кордоба
मराठी: कोर्दोबा
Bahasa Melayu: Córdoba, Sepanyol
эрзянь: Кордова
Plattdüütsch: Córdoba (Spanien)
Nederlands: Córdoba (Spanje)
norsk nynorsk: Córdoba i Spania
occitan: Còrdoa
polski: Kordoba
Piemontèis: Cordoba
português: Córdova (Espanha)
romani čhib: Córdoba, Spaniya
संस्कृतम्: कोर्दोबा
sicilianu: Còrdova
srpskohrvatski / српскохрватски: Córdoba (Španjolska)
Simple English: Córdoba, Andalusia
slovenščina: Córdoba, Španija
shqip: Kordova
српски / srpski: Кордоба
தமிழ்: குர்துபா
татарча/tatarça: Куртубә
ئۇيغۇرچە / Uyghurche: Kordowa
українська: Кордова (Іспанія)
اردو: قرطبہ
oʻzbekcha/ўзбекча: Kordova (shahar)
Tiếng Việt: Córdoba, Tây Ban Nha
吴语: 阔多瓦
ייִדיש: קארדאבע
Bân-lâm-gú: Córdoba (Andalucía)
粵語: 哥多華