Bikini (atolli)

Ramani ya Atolli ya Bikini. Kisiwa kidogo cha Bikini chenyewe kipo pembe la kaskazini-mashariki. "Able" na Baker" ni mahali pa milipuko miwili ya kwanza mwaka 1946

Bikini ni jina la atolli ya Mikronesia kwenye nchi ya Visiwa vya Marshall katika Pasifiki. Mahali pake ni 11°30'N 165°25'E. Ina visiwa vidogo 36 vinavyozungusha hori la ndani lenye urefu wa kilomita 4o na eneo la 594,2 km².

Makaburi ya manowari

Mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia jeshi la Marekani lilizamisha manowari zilizoharibika na kutohitajiwa tena kwenye hori la ndani la atolli.

Other Languages
Alemannisch: Bikini-Atoll
العربية: حلقية بيكيني
asturianu: Atolón Bikini
беларуская: Бікіні (атол)
български: Бикини (атол)
brezhoneg: Atoll Bikini
čeština: Bikini
Cymraeg: Atol Bikini
Deutsch: Bikini-Atoll
English: Bikini Atoll
español: Atolón Bikini
eesti: Bikini
français: Bikini (atoll)
galego: Atol Bikini
hrvatski: Bikini (atol)
magyar: Bikini-atoll
Bahasa Indonesia: Atol Bikini
日本語: ビキニ環礁
Basa Jawa: Atol Bikini
한국어: 비키니 환초
Ripoarisch: Bikini-Atoll
Lëtzebuergesch: Bikini-Atoll
lietuvių: Bikinis (atolas)
latviešu: Bikini atols
македонски: Бикини (атол)
Nederlands: Bikini (atol)
norsk nynorsk: Bikiniatollen
português: Atol de Bikini
srpskohrvatski / српскохрватски: Bikini (atol)
slovenčina: Atol Bikini
svenska: Bikiniatollen
Türkçe: Bikini Atolü
українська: Бікіні (атол)