Bendera ya Nigeria

Bendera ya Nigeria

Bendera ya Nigeria ina milia ya kusimama mitatu, miwili ya nje ni kijani na ile ya katikati ni myeupe.

Bendera ilipatikana katika mashindano ya kitaifa kabla ya uhuru mwaka 1959 na kuonekana rasmi mara ya kwanza tarehe 1.10.1960. Mshindi aliyetunga bendera hii alikuwa mwanafunzi wa uhandisi Michael Taiwo Akinkunmi kutoka Ibadan.

Rangi ya kijani inatakiwa kuonyesha misitu na mashamba yenye rutba na mlia mweupe humaanisha amani.

Other Languages
العربية: علم نيجيريا
azərbaycanca: Nigeriya bayrağı
беларуская: Сцяг Нігерыі
беларуская (тарашкевіца)‎: Сьцяг Нігерыі
বিষ্ণুপ্রিয়া মণিপুরী: নাইজেরিয়ার ফিরালহান
Cymraeg: Baner Nigeria
Bahasa Indonesia: Bendera Nigeria
македонски: Знаме на Нигерија
Bahasa Melayu: Bendera Nigeria
Plattdüütsch: Flagg vun Nigeria
Nederlands: Vlag van Nigeria
русский: Флаг Нигерии
srpskohrvatski / српскохрватски: Zastava Nigerije
Simple English: Flag of Nigeria
slovenčina: Vlajka Nigérie
српски / srpski: Застава Нигерије
українська: Прапор Нігерії