Barbara

Mt. Barbara alivyochorwa mwaka 1447, National Museum in Warsaw, Poland.

Barbara (kwa Kigiriki: Βαρβάρα) alikuwa mwanamke Mkristo wa Ugiriki wa Kale[1][2] anayesemekana kuwa alikatwa kichwa na baba yake kwa sababu ya imani yake.

Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu bikira mfiadini[3][4].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 4 Desemba.

Other Languages
العربية: بربارة
беларуская: Святая Варвара
kaszëbsczi: Swiãtô Barbara
English: Saint Barbara
Esperanto: Barbara (Sankta)
hrvatski: Sveta Barbara
Bahasa Indonesia: Barbara
italiano: Santa Barbara
日本語: 聖バルバラ
한국어: 바르바라
Lëtzebuergesch: Helleg Bäerbel
Limburgs: Barbara
Ligure: Santa Barboa
lietuvių: Šv. Barbora
македонски: Света Варвара
Picard: Sainte Barbe
română: Sfânta Barbara
slovenčina: Svätá Barbora
slovenščina: Sveta Barbara
српски / srpski: Света Варвара
Türkçe: Barbara
українська: Свята Варвара
中文: 白芭蕾