Aleksandr Solzhenitsyn

Tuzo Nobel.png
Solzhenitsyn, 1994
One Day in the Life of Ivan Denisovich

Aleksandr Isayevich Solzhenitsyn (11 Desemba 19183 Agosti 2008) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Urusi. Mwaka wa 1970 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Anajulikana hasa kwa kitabu chake "Funguvisiwa Gulag" (kwa Kirusi Arkhipelag Gulag) kilichotolewa katika majuzuu matatu miaka ya 1973-75. Alikamatwa na serikali na kufukuzwa nje ya nchi kwa sababu ya kitabu hicho. Mwaka wa 1994 alirudi Urusi. Aliaga dunia Moscow mjini mwaka wa 2008.


Inkwell icon - Noun Project 2512.svgMakala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aleksandr Solzhenitsyn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa .
Other Languages
azərbaycanca: Aleksandr Soljenitsın
беларуская (тарашкевіца)‎: Аляксандар Салжаніцын
dolnoserbski: Aleksandr Solženicyn
hornjoserbsce: Aleksandr Solženicyn
Արեւմտահայերէն: Ալեքսանտր Սոլժենիցին
Bahasa Indonesia: Aleksandr Solzhenitsyn
Bahasa Melayu: Aleksandr Solzhenitsyn
Plattdüütsch: Alexander Solschenizyn
norsk nynorsk: Aleksandr Solzjenitsyn
srpskohrvatski / српскохрватски: Aleksandar Solženjicin
Simple English: Aleksandr Solzhenitsyn
slovenščina: Aleksander Solženicin
oʻzbekcha/ўзбекча: Aleksandr Soljenitsin
vepsän kel’: Solženicin Aleksandr
粵語: 索贊尼辛